Methali ATANGAYE NA JUA HUJUA!
Katika kujifunza Kiswahili tunaelekea Zanzibar nchini Tanzania kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani humo, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua maana ya methali ATANGAYE NA JUA HUJUA!

kujifunza lugha ya Kiswahili kupitia neno la wiki hii leo mchambuzi wetu ni kutoka nchini Uganda ambako Mwenyekiti wa Idara za Kiswahili za Vyuo Vikuu vya Afrika MAshariki Aida Mutenyo anafafanua maana ya neno BASI
Leo katika neno la wiki mchambuzi wetu Onni Sigalla, ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno MAUJA.
Leo katika kujifunza Kiswahili tunaingia Zanzibar nchini Tanzania kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani humo, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua maana ya methali Kila Mtoto na Koja Lake!
Katika neno la wiki hii leo, Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi katika Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno Kipenga. Anasema Kipenga na si Kipyenga!