Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala ya Wiki

Katika SDGs tunasonga na UN imetia shime- Balozi Mushi

Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa uko bega kwa bega na serikali kufanikisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yaliyopitishwa mwaka 2015. Takribani miaka mitatu imepita tangu kupitishwa na ukomo ni mwaka 2030. Malengo yako 17 na kila nchi inajipigia upatu kuwa inasonga mbele kufanikisha malengo hayo kuanzia kutokomeza umaskini hadi kujenga ubia wa kimataifa.

Sauti
4'3"