Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Habari

3 Agosti 2021

Jaridani Jumanne, Agosti 3, 2021-

Watoto Lebanon wahaha mwaka mmoja tangu milipuko mjini Beirut

Watoto wetu wanahitaji chakula. Wanaweza kutaka chochote, hawajui kama tunacho au la - Afghanistan.

Nakuombea ushinde ili tusherehekee sote: Mzazi wa mwanariadha mkimbizi Tokyo

Sauti
12'20"

2 Agosti 2021

Jaridani leo Jumatatu Agosti 2, 2021

Jarida Assumpta Massoi anakuluetea habari kwa ufupi ikiwemo taarifa kuhusu wiki ya unyonyeshaji ilio ng'oa nanga Agosti Mosi. Mada kwa kina inaangazia kijana aliyebuni mashine ya oksijeni na mashinani tutasikia namna wadau wa magari ya umma wanahakIkisha kinga dhidi ya COVID-19.

Sauti
10'50"