Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Benki ya Dunia/Bamidele Emmanuel Oladokun

Mabadiliko ya tabianchi yaweka njiapanda vijana Afrika kuhusu suala la kupata watoto

Takriban nusu ya vijana barani Afrika wamesema wanafikiria upya suala la kupata watoto ama la kutokana na mabadiliko ya tabianchi, kwa mujibu wa ripoti mpya ya matokeo ya kura ya maoni iliyoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF bakwa kuwahoji watu 243,512 duniani kote

Sauti
2'55"