Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UNICEF/van Oorsouw

Jamii inaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN Women ukatili dhidi ya wanawake na wasichan unasalia kuwa kitendo cha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu duniani kote, ukiathiri zaidi ya wanawake milioni 1.3, takwimu ambayo hata hivyo haijabadilika kwa zaidi ya

Sauti
3'46"

30 NOVEMBA 2022

Jaridani leo tunaangazia mtandao wa intaneti barani Africa na juhudi za UNICEF Uganda katika shule moja ya msingi nchini humo. Makala tutaelekea nchini Tanzania Kusini Magharibi katika mkoa wa Mbeya na mashinani tutasalia hukohuko nchini Tanzania katika kambi ya wakambizi ya Nyarugusu.

Sauti
12'18"

29 NOVEMBA 2022

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina tukiangazia juhudi za kuwajengea watoto tabia ya kupenda kusoma vitabu na pia habari kwa ufupi zikiwemo ripoti ya UNAIDS na WHO, na usaidizi kwa wakimbizi na jamii za wenyeji nchini Chad. Mashinani tutakwenda nchini Cameroon, kulikoni?

Sauti
13'47"

28 NOVEMBA 2022

Hii leo jarida linakuletea habari za WHO na michuano ya fainali za Kombe la Dunia. Makala inatupeleka kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya kusikia simulizi ya msichana mnufaika wa mradi wa Girl Shine na Mashinani tutaelekea nchini Uganda kwa mkimbizi mwanaharakati wa mazingira

Sauti
10'56"