Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

16 SEPTEMBA 2022

Katika Habari za UN hii leo Leah Mushi anaanzia makao makuu ya  Umoja wa Mataifa ambako kumeanza mkutano wa marekebisho ya mfumo wa elimu na kikubwa leo ni uzinduzi wa darása la mfano linaloonesha kuwa ni mtoto 1 kati ya 3 wenye umri wa miaka 10 duniani kote ndiye anayeweza kusoma na kuelewa

Sauti
11'54"
UN/ Evan Schneider

Mshikamano wa kwenye chata ya UN unararuliwa na wanasiasa wanaojinufaisha na umaskini wa wananchi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo jijini New York, Marekani amezungumza na waandishi wa habari  ikiwa ni kuelekea Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la UN unaoanza wiki ijayo akisema ujumbe wake mkuu kwa viongozi watakaoshiriki ni dhahiri ya kwamba wachukue hatua kupunguza kiw

Sauti
3'45"