Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

CDC/Hannah A Bullock/Azaibi Tami

Wasio na makazi wazingatiwe wakati nchi zikiweka mikakati kuzuia kusambaa kwa COVID-19

Wakati huu ambapo serikali zikitegemea watu kusalia nyumbani ili kusaidia kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya Corona, COVID-19 , ni lazima nchi zichukue hatua za kuzuia mtu yeyote kukosa makazi na kuhakikisha fursa ya mahali pa kukaa kwa wale wasio na makazi. Grace Kaneiya anafafanua zaidi

Sauti
4'12"