Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya sasa ina visa 7 vya wagonjwa wa virusi vya corona

Kenya sasa ina visa 7 vya wagonjwa wa virusi vya corona

Pakua

Kenya imethibitisha visa vitatu zaidi vya virusi vya corona, na kufikisha idadi jumla ya watu saba waliopatikana kuwa na virusi hivyo hadi sasa.

Leo hii Jumatano, waziri wa afya Mutahi Kagwe ametangaza kuthibishwa kuwepo kwa wagonjwa watatu zaidi amboa waligunduliwa kuwa na virusi hivyo. 

Jason Nyakundi ameandaa makala ifuatayo kutoka Nairobi

Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
4'46"
Photo Credit
Centers for Disease Control and Prevention