Anasemekana kuwa mwanamke wa kwanza wa kanda ya Afrika mashariki na kati kupata shahada ya Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza mwaka wa 1954.
Wakati harakati za siku 16 za kuhamasisha kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake zikiwa zinaendelea, leo tuko nchini Uganda kusikia mchango wa mama mmoja ambae sasa ni marehemu lakini alikuwa mpigania haki za wanawake nchini humo.