Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Anasemekana kuwa mwanamke wa kwanza wa kanda ya Afrika mashariki na kati kupata shahada ya Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza mwaka wa 1954.

Anasemekana kuwa mwanamke wa kwanza wa kanda ya Afrika mashariki na kati kupata shahada ya Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza mwaka wa 1954.

Pakua

Wakati  harakati za siku 16 za kuhamasisha kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake zikiwa zinaendelea, leo tuko nchini Uganda kusikia mchango wa mama mmoja ambae sasa ni marehemu lakini alikuwa mpigania haki za wanawake nchini humo. Dkt Sarah NYENDWOHA Ntiro ambae anasemekana kuwa mwanamke wa kwanza kanda ya Afrika mashariki na kati kupata shahada ya Chuo Kikuu kutoka Chuo Kikuu  cha Oxford nchini Uingereza mwaka wa 1954 katika somo la Historia. Mwandishi wetu John Kibego ametuandalia Makala ambayo inanaanza kwa kauli ya waziri wa serikali kuu anayehusika na eneo la  Bunyoro Kitara, Enernest Kiiza akitoa wasifu wa marehemu Dkt Sarah Ntiro.

Audio Credit
Anold Kayanda/John Kibego
Audio Duration
3'12"
Photo Credit
Picha na UN News/Yasmina Guerda