Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nishati mbadala Zanzibar inalenga kuweka hakikisho la usalama kwenye nishati

Nishati mbadala Zanzibar inalenga kuweka hakikisho la usalama kwenye nishati

Pakua

Mkutano wa mwaka wa tume ya kamisheni ya Umoja wa Mataifa kwa Afrika ukiendelea huko Kigali nchini Rwanda, washiriki kutoka Afrika Mashariki wamezungumzia umuhimu wa mpango wa usalama wa nishati kwenye eneo hilo lenye wanachama sita. Tujiunge na Priscilla Lecomte wa Umoja wa Mataifa ambaye anashiriki mkutano huo.

 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Priscilla Lecomte
Audio Duration
2'58"
Photo Credit
Jiko la mkaa