23 Novemba 2018
Pakua
Leo hii katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Assumpta Massoi anakuletea
-Baraza la Biashara Afrika Mashariki lataka itifaki ya Kigali idhizie kote Afrika
-Ukata katika shirika la msaada kwa wakimbizi wa Kipastina , UNRWA watishia mustakabali wa watoto wa Kipalestina
-Ili kufikia ajenda ya maendeleo SDG vijana wataka kujumuishwa na kuwa na sauti
-Katika makala leo tunaendelea tamko la haki za binadamu na tuko Ethiopia kuangalia haki ya kumiliki mali
-Na katika kujifunza kiswahili Onni Sigalla anafafanua maana ya neno "ASILANI"
Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
11'47"