Takwimu ndio muarobaini wa SDGs
Wataalam wa kimataifa wa takwimu kutoka ofisi za kitaifa, sekta binafsi, mashirika yasiyo ya kiserikali yaani NGO’s, wanazuoni, na mashirika ya kimataifa na kikanda, wamekusanyika mjini Dudai katika Falme za Kiarabu kuanzia leo katka jitihada za kusongesha mbele mchakato wa kutimiza malengo ya ma