Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Oktoba 2018

18 Oktoba 2018

Pakua

Kamishina mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet awaambia SPLA-IO(RM) waachilieni huru wananchi mnaowashikilia mateka. Uganda yafurahishwa na mkutano wa AU na UN, yasema ni ishara ya kupatiwa kipaumbele mawazo ya bara la Afrika. Shirika la Chakula na kilimo, FAO, lawakwamua  wakulima wa zabibu nchni Misri kwa kuwapatia mafunzo ya kilimo.

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
9'38"