Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wa Senegal hawana tena shida ya maji

Wanawake wa Senegal hawana tena shida ya maji

Pakua

Mradi mpya wa shirika la chakula na kilimo duniani FAO, wa kukusanya na kuhifadhi maji katika matangi makubwa yaliyochimbiwa ardhini umesaidia wakulima wanawake wanaoishi maeneo yenye ukame nchini Senegal.

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
1'42"
Photo Credit
UNICEF/Patricia Esteve