Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya tuna mikakati kabambe ya kumkomboa mwanamke:Waziri Yatani

Wanawake kutoka kabila la wasamburu nchini Kenya
UNICEF/Samuel Leadismo
Wanawake kutoka kabila la wasamburu nchini Kenya

Kenya tuna mikakati kabambe ya kumkomboa mwanamke:Waziri Yatani

Wanawake

Kamisheni ya hali ya wanawake CSW kando na mambo mengine inatoa fursa kwa nchi kujitathmini hatua ambazo imepiga katika kufanukisha usawa wa kijinsia katika nyanja mbali mbali. 

Hiyo ni kauli ya balozi Ukur Yatani waziri wa kazi na ulinzi wa jamii kutoka Kenya kandoni mwa mkutano wa CSW63, katika mahojiano maalum na Idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Maaifa katika mkutano huo uliojikita kutafura mbinu za wainua wanawake katika Nyanja mbalimbali ikiwemo kkiuchumi, kijamii na kisiasa. Waziri Yatani amesema kwa upande wa ukombozi wa mwanamke kiuchumi nchi yake imeweka mikakati ikiwemo

(Sauti ya Ukur Yatani)

Kwa mantiki hiyo waziri Yatani amesema

(Sauti ya Ukur Yatani)