CSW63

Harakati za wanawake kusaka sauti katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya.

Umoja wa Mataifa na mashirika yake kwa pamoja wamekuwa mstari wa mbele kupigia  chepuo suala la usawa kijinsia katika kila jamii hususan katika nafasi ya  uongozi ili kuhakikisha mwanamke anapewa nafasi katika maendeleo ya jamii yake.

Sauti -
4'4"

Elimu kuhusu hifadhi ya jamii Tanzania kusaidia kupanua wigo

Wakati Umoja wa Mataifa ukieleza kuwa upataji wa huduma za hifadhi ya jamii bado ni changamoto kubwa wa wakazi wengi wa dunia, Tanzania imeamua kuchukua hatua madhubuti kwa kutambua kuwa hifadhi  bora ya jamii ni jawabu la siyo tu kupunguza umaskini wa  kaya bali pia umaskini katika ngazi ya taifa.

 

11 Aprili 2019

Licha ya mapigano Libya, WHO yaendelea kupeleka vifaa vya matibabu, Kliniki  ya macho Beni nchini DRC yasaidia manusura wa Ebola, Mpango wa kunusuru kaya mask

Sauti -
13'6"

Wanawake nchini Kenya washika hatamu kusongesha amani

Lengo namba 16 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uwepo wa amani na haki pamoja na taasisi thabiti za kusimamia masuala hayo.

Sauti -
4'29"

03 April 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
12'2"

CSW63 yakunja jamvi kwa mkakati kuwahakikishia wanawake ulinzi, usalama na fursa za kiuchumi.

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na kukuza usawa wa kijinsia na kuwaezesha wanawake, UN Women limehitimisha mkutano wake wa mwaka mwishoni mwa wiki hii mjini New York Marekani kwa makubaliano kuhusu njia za kulinda na kuboresha jinsi wasichana na wanawake watakavyoweza kufikia mifumo ya ulinzi wa kijamii, huduma za kijamii na miundombinu endelevu.

Mchango wa wanawake katika kuchagiza amani Kenya

Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake CSW63 unafunga pazia leo Machi 22 hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
5'54"

22 Machi 2019

Jaridani Machi 22, 2019 na Grace Kaneiya

Sauti -
10'53"

Tanzania yachukua hatua ili kila mtu apate maji ifikapo 2030

Ikiwa leo ni siku ya maji duniani, maudhui yakiwa hakuna kumwacha mtu nyuma katika kupata huduma hiyo ifikapo mwaka 2030 kwa kuzingatia lengo namba 6 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, Tanzania imetaja hatua iliyochukua ili kufanikisha lengo hilo. 

21 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Siku ya kutokomeza ubaguzi wa rangi duniani wito umetolewa na UN  kukomesha aina zote za  itikadi na misimamo ya chuki vilevile ubaguzi wa kisiasa na kijamii

Sauti -
11'52"