Kenya imedhamiria kumwamua mwanamke kiuchumi: Waziri Yatani
Serikali ya Kenya imesema imeweka mikakati maalum kuhakikisha mwanamke anakwamuliwa kiuchumi na kijamii ifikapo mwaka 2030. Hayo na mmoja wa mawaziri anayehudhuria kikao cha 63 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW63 kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani.