Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahanga wa ugaidi tunyanyuke tusonge mbele- Ndeda

James Ndeda, mmoja wa wahanga wa tukio la kigaidi nchini Kenya mwaka 1998. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili

Wahanga wa ugaidi tunyanyuke tusonge mbele- Ndeda

Kuelekea hotuba kuu itakayotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres huko London, Uingereza baadaye wiki hii, mmoja wa wahanga wa tukio la kigaidi nchini Kenya mwaka 1998, ametoa ujumbe wake kwa magaidi. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi.

(Taarifa ya Assumpta)

Huyu ni James Ndeda akizungumza na Idhaa hii jijini New York, Marekani, miaka 19 tangu shambulio la kigaidi jijini Nairobi, Kenya.

Ndeda ambaye sasa anaongoza shirika la Victims of Terrorism Organisation Kenya linalosaidia wahanga wa ugaidi amesema..

(Sauti ya James)

James akatoa wito kwa wahanga wa ugaidi..

(Sauti ya James)

Na hatimaye kwa magaidi amesema..

(Sauti ya James)