Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Upimaji afya na uzazi wa mpango vitaisaidia kutimiza lengo la afya Uganda

Upimaji afya na uzazi wa mpango vitaisaidia kutimiza lengo la afya Uganda

Serikali ya Uganda imesema imepiga hatua katika masuala ya afya lakini bado kuna changamoto nyingi . Joseph Msami na tarifa kamili.

(TAARIFA YA MSAMI)

Kauli hiyo imetolewa na waziri wa afya wa nchi hiyo Bi Sarah Opendi akizungumza na idhaa hii kandoni mwa mjadala wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York. Amesema

Watu nchini Uganda  wanahitaji kutambua umuhimu wa kupima afya zao, kuchukua hatua mapema na kupanga uzazi kama taifa hilo la Afrika ya Mashariki linataka kutimiza lengo namba 3 la maendeleo endelevu au SDG’s linalohimiza afya bora .

Amesisitiza kuwa mwaka 2030 sio mbali , ndoto ya lengo la afya Uganda itatimia

(SAUTI YA SARAH1)