Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Redio bado ni nambari moja kote duniani

Redio bado ni nambari moja kote duniani

Leo Februari 13 ni siku ya redio duniani ikitokana na azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la kuanzisha radio ya umoja huo tarehe 13 Februari mwaka 1946.

Maudhui ya mwaka huu ni radio ni wewe ikiangazia jinsi radio inavyoendelea kumshirikisha msikilizaji ambapo Idhaa hii imezunngumza na  mtangazaji nguli wa Kenya Fred Obachi Machoka kuhusu umuhimu wa redio kwa nyakati za sasa?

(Sauti ya Machoka)

Fred Obachi Machoka najulikana kama blackest man in black Africa…

Akizungumzia juu ya matumizi ya muziki ili kuwavutia wanaopenda burudani, Fred ambaye anafahamika kwa kipindi chake cha burudani anasema..

(Sauti ya Machoka)

Kipindi changu chajulikana kama roga roga…