Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto wakimbizi Uganda wajifunza na kuendeleza utamaduni

Watoto wakimbizi Uganda wajifunza na kuendeleza utamaduni

Nchini Uganda watoto wakimbizi kutoka Sudan Kusini, licha ya kuishi katika nchi ya ugenini wamevuka kizuizi cha kitamaduni kwani wanajifunza michezo na nyimbo za utamaduni za nchini humo, halikadhalika wakiendeleza tamaduni mashuelni .

John Kibego kutoka Uganda amewatemebelae na kwadodosa kile wakifanyacho.

Ungana naye katika makala ifuatayo ya kusisimua.