Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kumuinua mtoto wa kike hakumaanishi kumdidimiza mtoto wa kiume-UNFPA

Kumuinua mtoto wa kike hakumaanishi kumdidimiza mtoto wa kiume-UNFPA

Jitihada za kumuinua mtoto wa kike zinazopigiwa upatu kote duniani , hazimaaninishi ni kumdidimiza mtoto wa kiume bali ni kutaka kuleta uwiano. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa kitengo cha masuala ya kimataifa katika shirika la idadi ya watu duniani UNFPA.

Bwana John Mosoti akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amefafanua

(MOSOTI CUT 1)

Je hii inaondoa hofu ya kumuinua zaidi msichana na kumuacha nyuma mvulana

(MOSOTI CUT 2)