Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- "Rambaza"

Neno la Wiki- "Rambaza"

Mchambuzi wako leo ni Nuhu Bakari kutoka CHAKITA, Kenya na anasema “Rambaza”  ina maana mbili ambazo ni tofauti sana, maana ya kwanza ni kwa  wavuvi, kuna kitendo cha wavuvi kutumia wavu, lema ama ndoano, kurambaza ni kitendo cha mvuvi kutembeza nyavu kwenye maji kutafuta ama kuvua samaki, na maana nyingine ni mtu mwenye tabia ya kutembea kwenya maeneo ya madanguro mfano "yule mtu ni rambaza".