Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ujasiriamali wakuza ajira Tanzania

Ujasiriamali wakuza ajira Tanzania

Nchini Tanzania ajira kwa vijana kupitia ujasiriamali ni msisitizo katika kukabiliana na umasikini hususani kwa vijana ambao hawajahitimu elimu ya juu.

Nicholas Ngaiza wa redio washirika Kasibante Fm ya Karagwe nchini humo anakufahamisha ni jinsi gani kundi hilo linavyojitutumua kujiajiri. Fuatana naye katika makala ifuatayo.