Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burundi yapaswa kujumuisha makundi yote katika kusaka amani: Batwa

Burundi yapaswa kujumuisha makundi yote katika kusaka amani: Batwa

Ili kufikia amani ya kweli nchini Burundi makundi yote ya kijamii hususani watu wa asili wanapaswa kushirikishwa. Ni kauli ya mwakilishi wa jamii asilia ya Batwa kutoka nchini Burundi, Vitale Bambanze.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii mjini New York wakati akihudhuria mikutano ya jamii asilia inayoendelea, Bambanze amesema mchakato wa kusaka amani unahitaji kujumuisha jamii hiyo ambayo amesema inatengwa kwakuwa.

( SAUTI)

Kuhusu alichojifunza kwenye mkutano huu...

( SAUTI)