Skip to main content

Jamii asilia zajadili amani mjini New York

Jamii asilia zajadili amani mjini New York

Jamii asili zinakutana mjini New York kwa ajili ya mjadala kuhusu kukabiliana na machafuko na kudumisha usalama . Joseph Msami na taarifa kamili.

(TAARIFA YA MSAMI)

Katika mahojiano na idhaa hii mwakilishi wa jamii ya watu wa asili ya Kimasai kutoka Kenya Mary Simati amesema jamii asilia zikishirikishwa ipasavyo katika kila ngazi na nyanja zaweza kusaidia katika kukuza amani.

Akitolea mfano nchini Kenya ambapo uchaguzi mkuu unatarajiwa amesema .

( SAUTI MARY)