Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vyandarua vya bure vyaleta ahueni vita dhidi ya malaria Uganda

Vyandarua vya bure vyaleta ahueni vita dhidi ya malaria Uganda

Ikiwa leo ni siku ya malaria duniani, shirika la faya ulimwenguni WHO limeazimia kutokomeza Malaria katika nchi 35 ifikapo mwaka 2030, bara la Afrika likiwa miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi.

Ungana na John Kibego kutoka Uganda kwa makala kuhusu hali ya malaria inayoripotiwa kuwa ahueni kufuatia usambazaji wa vyandarua kwa umma bila malipo.