IFAD, EU wakwamua kilimo Kenya
Mfuko wa kimataifa wa maendeleo yakilimo IFAD, Muungano wa Ulaya wamewezesha kilimo kinachoendana na ukame nchini Kenya hatua inayokwamua wakulima katika umasikini.
Ungana na Grace Kaneiya katika makala itakayokueleza namna wakulima walivyobadilishwa kufuatia kilimo kinachostahimili ukame.