Skip to main content

Tanzania: watoto wachangia kampeni dhidi ya kipindupindu

Tanzania: watoto wachangia kampeni dhidi ya kipindupindu

Nchini Tanzania, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetoa mafunzo kwa watoto wanahabari ili waweze kuelimisha jamii kuhusu kipindupindu kupitia redio.

Jijini Mwanza, watoto 30 wameshiriki kwenye warsha iliyotolewa hivi karibuni na tayari wameandaa vipindi vya redio na kuanza kuhamasisha jamii.

Mmoja wao ni Highness Daniel Machange ambaye ameiambia idhaa hii kwamba bado uelewa wa jamii ni mdogo kuhusu njia za kujikinga na kipindupindu.

(Sauti ya Highness)

Hata hivyo ameeleza kwamba kwake yeye, hofu ya kuathirika imepungua kwani…

(Sauti ya Highness)