Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa upanzi wa miti inayofyoza hewa chafuzi nchini Kenya

Mradi wa upanzi wa miti inayofyoza hewa chafuzi nchini Kenya

Wakati mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kushuhudiwa, kilimo ni moja wapo ya sekta ambazo zinaathirika zaidi. Nchini Kenya ambako asilimia kubwa ya watu wanategemea kilimo athari za mabadiliko ya tabianchi ni dhahiri. Hii ni kufuatia uharibifu wa misitu na uchafuzi wa hewa. Ni kwa mantiki hiyo ambapo wadau mbalimbali wanatoa mafunzo kwa wananchi ili kuhakikisha kwamba athari za mabadiliko ya tabianchi zinarekebishwa.

Katika makala hii Grace Kaneiya anasimulia kuhusu mradi benki kuu wa kutoa mafunzo kwa wakulima kuhusu upanzi wa miti inayofyoza hewa chafuzi nchini Kenya. Ungana naye.