Ukusanyaji takwimu za vikundi,makabila; mtaalamu aondoa hofu serikali

Ukusanyaji takwimu za vikundi,makabila; mtaalamu aondoa hofu serikali

Hakuna sababu ya nchi kuogopa kukusanya takwimu kwa misingi ya kabila au vikundi fulani, amesema Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu aina za sasa za ubaguzi, Mutuma Ruteere jijini New York, Marekani.

Akihojiwa na Radio ya Umoja wa Mataifa baada ya kuwasilisha ripoti yake ya mwaka mbele ya kamati ya Baraza Kuu la Umoja huo, Ruteere amesema..

(Sauti ya Mutuma)

Hata hivyo amesema masuala ya kuzingatia katika kukusanya takwiu hizo..

(Sauti ya Mutuma)

Ametaja Hispania, Uingereza na Marekani kuwa ni miongoni mwa nchi zinazokusanya takwimu kwa misingi hiyo.