Skip to main content

Ugaidi ni tishio, tushirikiane :EAC

Ugaidi ni tishio, tushirikiane :EAC

Wiki ya Afrika ikiwa inaendelea hapa katika makao makuu ya umoja wa Mataifa mjini New York mwakilishi wa jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, amesema ukosefu wa usalama ndiyo changamoto kubwa inayoikabili jumuiya hiyo na bara Afrika kwa ujumla.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Charles Njoroge ambeye ni Kaimu Katibu wa EAC kwa upande wa shirikisho la kisiasa amesema ni lazima jumuiya ya Afrika Mashariki ishirikiane katika kukabilina na ugaidi, uhalifu unaovuka mipaka na...

(SAUTI NJOROGE)

Kuhusu viongozi kutoheshimu katiba Njoroge anasema..

(SAUTI NJOROGE)