Skip to main content

Mikopo yabadili maisha ya wakulima Tanzania

Mikopo yabadili maisha ya wakulima Tanzania

Kilimo chaweza kuleta tija ikiwa wakulima watawezeshwa kimtaji,  ni kauli ya afisa anayeshugulikia mikopo kwa wakulima chini Tanzania ambapo wakulima wamewezesha kimikopo kutoka benki iitwayo Access na kuanza kubadilisha maisha yao. Katika makala ifuatayo Grace Kaneiya anasimulia maisha yalivyobaidilika kwa wakulima hao.