Wazanzibar walioko New York waadhimisha miaka 50 ya mapinduzi
Wiki moja baada yaZanzibarkuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi, wananchi wa visiwa hivyo wanaoishi mjiniNew York na maeneo ya jirani wameungana na watanzania wote kwa ujumla katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi.
Mwandishi wa idhaa hii Joseph Msami alikuwa amiongoni mwa waliohudhuria sherehe hizi na kuandaa ripoti ifuatayo.