Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Asasi za kiraia zaweza kuleta mabadiliko zikihusishwa kikamilifu: Mlay

Asasi za kiraia zaweza kuleta mabadiliko zikihusishwa kikamilifu: Mlay

Ikiwa asasi za kiraia zitapewa fursa timilifu katika ujenzi wa kiuchumi zinaweza kusongesha mbele juhudi za maendeleo hususani katika ajenda ya maendelo baada ya 2015 amesema mwakilishi wa mtandao wa wanawake wa Afrika katika sera za kiuchumi AWEPON, Jovita Mlay.

Katika mahojiano na idhaa hii kandoni mwa vikao vya awali kuhusu mkutano wa ufadhili wa fedha  kwa ajili ya maendeleo mjini New York, Bi. Mlay amesema asasi za kiraia zinahitaji kuja pamoja ili

(SAUTI MLAY)

Na je asasi za kiraia zina matumaini yapi  kuelekea mkutano kuhusu ufadhili wa fedha kwa ajili ya maendeleo nchini, Ethiopia mwezi July.

(SAUTI MLAY)