Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasanii wa kimataifa washerehekea ahadi ya mustakhbali fanisi na endelevu

Wasanii wa kimataifa washerehekea ahadi ya mustakhbali fanisi na endelevu

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mnamo Ijumaa ya tarehe 6 Juni mwaka huu, wasanii kutoka sehemu mbali mbali duniani walikutana jukwaani, wakiwa wamebeba ujumbe wa matumaini wakati wa tamasha maalum kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, New York.

Tamasha hilo liloandaliwa na rais wa Baraza Kuu, John W. Ashe, lilipewa kichwa: “Kuandaa Jukwaa: mwaka 2015 na baadaye,” likilenga kuhamasisha umma kuhusu fursa ya kihistoria ambayo itaibuka mnamo mwaka 2015, wakati viongozi wa dunia watakutana kuweka ahadi ya kuutokomeza umaskini na kuuweka ulimwengu kwenye barabara ya maendeleo endelevu.

Ungana basi Joshua Mmali, akisimulia na kutupa kionjo cha vitumbuizo kutoka kwenye tamasha hilo