Mafunzo ya wanamgambo nchini Somalia
Wakati Somali ikiendelea na juhudi za amani baada ya vita ya miongo mbili. Umoja wa Mataifa, jamii ya kimataifa na serikali ya nchi hiyo zimechukua hatua mbali mbali katika kuweka amani nchini Somalia. Basi ungana na Joseph Msami katika makala hii kuhusu mafunzo kwa wanamgambo.