Kilimo kimesaidia kuimarisha maisha ya familia:Kenya

Kilimo

Kilimo kimesaidia kuimarisha maisha ya familia:Kenya

Nchini Kenya kilimo ni miongoni mwa sekta muhimu kwa ajili ya kuzalisha chakula na pia katika kubuni nafasi za kazi. Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO linasisitizia kilimo cha familia.

Katika makala ifuatayo familia moja ilioko magahribi mwa Kenya inaendesha kilimo cha familia kupitia ufadhili na mafunzo kutoka FAO. Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo.