Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa wanufaisha vijana wa kike Tanzania

Umoja wa Mataifa wanufaisha vijana wa kike Tanzania

Tunapoelekea siku ya wanawake duniani March nane, imeelezwa kuwa kupitia chama cha Umoja wa Mataifa cha vijana nchini Tanzania YUNA wanawake wengi wamefunzwa juu ya utunzaji wa mazingira, kilimo pamoja na afya ya uzazi.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Shantal Mwango’nda ambaye ni mmoja wa wanachama wa YUNA ameiambia idhaa hii kuwa vijana hususani wa kike wamenufaika vilivyo kupitia mafunzo yanayotolewa na chama hicho

(SAUTI)

Na kisha akatoa wito kwa wanawake

(SAUTI)