Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haki za wahamiaji zamulikwa Geneva

Haki za wahamiaji zamulikwa Geneva

Mkutano wa 25 wa baraza la haki za binadamu unaoendelea mjini Geneva leo umejikita kwenye haki za wahamiaji ambapo naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson ametoa ujumbe wa video kuhusu haki za binadamu akisema ni muhimu changamoto zinzokabili kundi hilo zikatatuliwa na serikali pamoja na jamii kwa ujumla.

(SAUTI ELIASSON)