Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNMISS na Uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini vyamulikwa kwenye Baraza la Usalama

UNMISS na Uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini vyamulikwa kwenye Baraza la Usalama

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Baraza la Usalama la Umoja wa leo limefanya majadiliano kuhusu Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini, UNMISS, pamoja na uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini na baadaye kuhusu vikwazo ilowekewa Sudan.

Mkutano wa leo umehudhuriwa pia na Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani katika Umoja wa Mataifa Hervé Ladsous, ambaye baadaye amewaambia waandishi wa habari kuwa masuala ya kipaumbele Sudan Kusini ni pamoja na kuisaidia IGAD katika juhudi za upatanishi.

“Kuna masauala kadhaa ya kipaumbele, na kama mnavyojua, tunatakiwa kuangaza majukumu ya UNMISS kwa ulinzi wa raia, pili haki za binadamu na tatu, kusaidia watoa huduma za kibinadamu. Naweza kuongeza la nne, ambalo ni kusaidia katika harakati za upatananishi za IGAD.”

Amesema makubalianon ya kusitisha mapigano yalotiwa saini mjini Addis Ababa mwezi ulopita yanatazamiwa kupunguza uhasama wa kisiasa kati ya Rais Salva Kiir na makamu wake wa zamani, Riek Machar, ambaye aliondolewa kwenye wadhfa wake mnamo Julai mwaka 2013, na kushutumiwa kufanya jaribio la kuipindua serikali.

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}