Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usafirishaji wa fedha Somalia wahofiwa kuwezesha uharamia

Usafirishaji wa fedha Somalia wahofiwa kuwezesha uharamia

Taifa la Somalia likiwa linapiga hatua za kukuza uchumi wake baada ya takribani miongo miwili ya vita, uharamia nao ni changamoto kubwa inayoikabili nchi hiyo.

Joseph Msami anaangazia utumaji wa fedha na athari zake katika uharamia nchini humo. Ungana naye katika makala ifuatayo.