Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wakutana Nairobi kukuza uelewa kimaendeleo

Vijana wakutana Nairobi kukuza uelewa kimaendeleo

Ikiwa vijana kote ulimwenguni wanaadhimisha siku ya kimataifa ya vijana August 12 kila mwaka , vijana kutoka nchi za maziwa makuu na nchi nyinginezo barani Afrika wamekusanyika nchini Kenya kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa namna ya kukuza stadi mbalimbali ili kujiletea maendeleo.

 Ungana na mwandishi wetu wa mjini Nairobi Jason Nyakundi aliyefanya mahijiano na baadhiyao.