Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM na UNDP washirikiana kuwasaidia wahamiaji wa Chad

IOM na UNDP washirikiana kuwasaidia wahamiaji wa Chad

Shirika la wahamiaji duniani  IOM na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa wametia saini mkataba wa kutekeleza programu ya kusaidia wahamiaji wa Chad walio Ufaransa, na ambao wana kiasi kikubwa cha ujuzi na maarifa,  kurudi nyumbani ili kuchangia katika maendeleo ya nchi yao.

Msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe amezungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa kuhusu suala hilo.

(SAUTI YA JUMBE)