Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uongozi wa Kisheria katika taifa la Burundi

Uongozi wa Kisheria katika taifa la Burundi

Nchi ya Burundi , baada ya historia yake kugubikwa na vipindi vingi vya machafuko ya kikabila tangu taifa hilo la Afrika ya Kati kujipatia uhuru kutoka kwa mkoloni katika mwaka wa 1962, sasa Burundi imeanza kujinasua kutoka katika lindi hilo na kujichorea mustakhbali mpya kama taifa linaloanza kuzingatia uongozi wa kisheria. Hali  inayojiri kwa sasa nchini humo imekuwa chachu ya manedelo ya kisiasa.  Hata hivo mafaniko kufikia utawala wa kisheria yanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo uhuru wa vyombo vya sheria.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani KIBUGA ametuandalia makala haya kutoka Bujumbura.

(SAUTI YA RAMADHAN KIBUGA)