Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF kwenye harakati za kuwakomboa watoto wanajeshi nchini Somalia

UNICEF kwenye harakati za kuwakomboa watoto wanajeshi nchini Somalia

Majuma matatu baada ya kutangaza kupungua kwa njaa kwenye sehemu tatu nchini Somalia, Umoja wa Mataifa umeonya juu ya hatari zinawakumba watoto nchini Somalia. Mwezi uliopita pekee watoto 24 waliuawa kwenye machafuko kusini na katikati mwa Somalia.

Mkurugenzi wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa mashariki na kusini mwa Asia anasema kuwa maelfu ya maisha yameokolewa tangu hali ya njaa ilipotangazwa.

CLIP