Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilimo ni muhimu kushughulikia matatizo ya maji na nishati siku za usoni:FAO

Kilimo ni muhimu kushughulikia matatizo ya maji na nishati siku za usoni:FAO

Shinikizo la kimataifa kupata rasilimali ya maji limefikia kiwango kikubwa katika maeneo mengi, mtazamo wa kila siku kuhusu maendeleo ya kichumi na udhibiti wa mali asili hautawezekena tena limesema shirika la chakula na kilimo FAO.

Katika mkutano wa kimataifa kuhusu maji, nishati na usalama wa chakula unaofanyika mjini Bonn Ujermani FAO imesema kilimo kitakuwa nguzo muhimu ya utekelezaji wa udhibiti wa rasilimali ya maji. Jason Nyakundi anaripoti.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)