Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali mbaya ya hewa na mapigano vinachochea hali kuwa mbaya zaidi Somalia

Hali mbaya ya hewa na mapigano vinachochea hali kuwa mbaya zaidi Somalia

Kuendelea kwa mapigano na hali mbaya ya hewa nchini Somalia vinaendelea kufanya hali iliyopo sasa ya kibinadamu kuwa mbaya zaidi.

Kwa sasa watu wanaendelea kuwasili kwenye mji wa Dobley ulio umbali wa kilomita 18 kutoka kwenye mpaka wakisema kuwa wamekimbia baada ya kutokea kwa makabiliano ya wanajeshi na tisho la kurejea kwa wanamgambo wa Al Shabaan kwenye maeneo lililokuwa limeshikilia. George Njogopa na ripoti kamili.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)