Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bei za chakula duniani bado hazijatengamaa:FAO

Bei za chakula duniani bado hazijatengamaa:FAO

Shirika la chakula na kilimo FAO leo limesema bei za kimataifa za chakula kwa mwezi wa April hazijabadilika sana baada ya kushuka mwezi Machi baada ya kuongeza kwa miezi minane mfululizo.

Hata hivyo FAO inasema orodha ya bei ya chakula kwa satani mwezi wa April imekuwa alama 232, kukiwa na mabadiliko kidogo sana tangu Machi ambo ulikuwa asilimia 36 zaidi ya April na asilimia 2 tuu chini ya ya iliyokuwa Februari 2011.

Kushuka kwa bei ya sukari na mchele kumesaidia , japo bei za kimataifa za karibu vitu vingine vyote iko juu. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)